Monday, July 13, 2015

Ofa iliyokubaliwa ya Manchester City kumsajili kiungo Raheem Sterling kutoka klabu ya Liverpool imeweka rekodi mpya katika listi ya wachezaji ghali zaidi wenye asili ya taifa la Uingereza. Man city imekubali kuilipa Liverpool ada ya kiasi cha £49m kwa ajili ya Sterling na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi ambaye bado yupo chini ya umri […] The post Rooney, Sterling, Bale – listi ya wachezaji ghali zaidi wa Kiingereza hii hapa appeared first on 

Maimu love’s blogs

0 comments: