Saturday, July 11, 2015

Katibu wa idara ya itikadi na uenezi CCM Mhe. Nape Nnauye awakaribisha rasmi Watanzania katika kurasa za CCM katika mitandao ya kijamii. ili kupata taarifa sahihi kuhusu uchaguzi 2015,Na pia utaweza kutazama Mkutano mkuu wa chama moja kwa moja siku ya jumamosi tarehe 11 Julai 2015,

0 comments: