Monday, July 20, 2015

Msanii wa afrika kusini,Dolnad aliyemshirikisha Diamond kwenye collabo waliyoipa jina la kiswahili "wangu; amewaomba radhi mashabiki waliokuwa wanatarajia video hiyo na audio ya wimbo huo ambao awali ulipangwa kutoka ijumaa iliyopita 17/7/2015.

0 comments: