MKURUGENZI
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto0,
akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye
hoteli ya city garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu
kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika
wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja
Baadhi ya Wafanyakazi wa PPF wakishirikia kwenye Futari ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment