Friday, July 10, 2015

Baadhi ya Polisi wakiwatawanya watu (hawapo pichani) kwa mabomu ya machozi mara baada ya tukio la kuchomwa moto kituo cha polisi Bunju, tukio hilo limetokea.Kituo cha polisi Bunju kilichopo nje kidogo ya jiji la Dar kimechomwa moto na baadhi ya Wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na gari na kufa papo hapo* * Sehemu ya kituo hicho cha Polisi Bunju kikiteketea kwa moto mara baada ya kuchomwa moto na wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na gari na kufariki papo hapo.* *TUTAWALETEA HABARI ZAIDI YA KADIRI ZITAKAVYOPATIKANA.*

0 comments: