Sunday, July 12, 2015

Mgombea Urais 2015 kwa tiketi ya Chama Tawala{CCM}.Bw,John Pombe Magufuli. MKUTANO MKUU WA TAIFA umefanikiwa kumteua mgombea wa chama Urais 2015 ambaye ni Mhe. John Pombe Magufuli. Ndugu Watanzania, Chama Cha Mapinduzi tumemchagua Ndugu John Pombe Joseph Magufuli kuwa mgombea wetu wa Urais katika Uchaguzi Mkuu 2015. — Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 12, 2015 #UmojaNiUshindi

Maimu love’s blogs

0 comments: