![]() |
Ili kufikia malengo unaitajika wakati mwingine kufanya kazi kwa bidii mwakati mwingine mtu anajikuta amekata tamaa lakini ndugu yangu nakusihi usikate tamaa kwa sababu emu jiuze jirani yako angeweza vipi kufanikiwa kama angekuwa amekata tamaa tambua ndugu unabidi ujifunze kupitia kwa walio fanikiwa japo changamoto ni nyingi,THE DREAM COME TRUE.
0 comments:
Post a Comment