Mh, Samia Suluhu HassanMgombea mwenza Urais 2015 wa Mhe. John Pombe
Magufuli ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Mgombea kiti cha Urais kwa tiketi ya CCM aliyeteuliwa na Mkutano Mkuu wa
chama hicho unaendelea mjini Dodoma Bw,John Pombe Magufuli amemteua Mh,
Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza wake katika uchaguzi wa 2015,
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ni Bi Samia Hassan Suluhu.
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment