Monday, July 6, 2015




Mawaziri wa zamani Basjil Mramba (kulia) na Daniel Yona leo ( kati ) ambao Mahakama imeakuta na hatia katika kesi iliyokuwa inawakabili kwa kipindi kirefu na kuwahukumu kifungo cha kwenda jela miaka mitatu kila mmoja. Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi Grey Mngonja (kushoto) ameachiwa huru bada ya kukutwa hana hatia. Washitakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 kutokana na kutoa msamaha wa kodi kwa kampuni iliyopata zabuni ya ukaguzi wa madini ya dhahabu nchini ya M/S Alex Stewart

0 comments: