Tuesday, July 7, 2015

Cristiano-Ronaldo-Wallpaper..1
Dada mmoja aitwaye Austin Milan jana usiku ametoa story moja nzuri sana kuhusu nahodha wa Ureno, Cristiano RonaldoAustin kwa sasa yuko Marekani kwenye mapumziko yake tu.
Austin anasema ilitokea bahati mabaya akapoteza simu yake akiwa Las Vegas, kwa bahati nzuri simu yake iliokotwa na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano RonaldoRonaldo alihakikisha kwamba hiyo simu hiyo inamfikia mwenye nayo ambaye ni Austin.
Cristiano hakuishia hapohapo, alimwalika pia Austin kula nae chakula cha usiku.
    Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata

0 comments: